jagomart
digital resources
picture1_Osha4088


 118x       Filetype PDF       File size 1.38 MB       Source: www.osha.gov


File: Osha4088
hatua 9 za kuzuia wafanyakazi kuambukizwa covid 19 kwenye kiwanda cha kutengenezea na kupakia nyama kuku na nguruwe zingatia usalama wako na watu wanaofanya kazi karibu nawe chukua hatua hizi ...

icon picture PDF Filetype PDF | Posted on 24 Sep 2022 | 4 years ago
Partial capture of text on file.
               Hatua 9 za Kuzuia wafanyakazi kuambukizwa  
               COVID-19 kwenye kiwanda cha kutengenezea na 
               kupakia nyama, Kuku na Nguruwe
               Zingatia usalama wako na watu wanaofanya kazi karibu nawe. Chukua 
               hatua hizi hata kama huna dalili za COVID-19.
              ➊Kaa nyumbani ikiwa                                                     ➋Zingatia kudumisha 
                         u mgonjwa.                                                              umbali wa futi sita kati ya 
                                                                                                 wafanyikazi wenzako.
               ➌Epukana na mikusanyiko ya                                             ➍Weka vizuizi kwenye 
                         vikundi wakati wa mapumziko                                             laini ya uzalishaji ili 
                            
                         ya kazi, hata ikiwa ni nje.                                             kudumisha umbali 
                                                                                                 uliotengwa.
              ➎Epukana na kushirikiana                                                 ➏Tumia sabuni na maji 
                         vifaa na zana. Mara kwa                                                 kunawia mikono.
                         mara safisha zana na vifaa 
                         vyote vinavyotumika na 
                         watu wengi.
              ➐Valia vifaa vya kinga kwa                                              ➑Ripoti wasiwasi wowote 
                        usalama wako ili kuzuia                                                  kuhusu usalama na afya 
                        kuenea kwa virusi.                                                       kwa msimamizi wako au 
                                                                                                 kwa OSHA.
              ➒Ikiwezekana epukana na                                                      Jifahamishe kuhusu mapendekezo 
                         usafiri wa pamoja wakati wa                                       ya afya ya umma. Kwa habari zaidi, 
                                                                                           tembelea 
                         kwenda na kutoka kazini.                                                          www. osha.gov/coronavirus 
                                                                                           au piga simu 1-800-321-OSHA (6742).
                                                                                                                                                               er 
                                                                                                                                                               orkork 
                                                                 Idara ya Usalama wa                                                                           W
                                                                                                                                                                  and P
                                                                 kazi na Utawala wa                 1-800-321-OSHA (6742)                                      educing ,
                                                                                                                                                                 oultry
                                                                                                                                                                  P
                                                                 Afya Marekani                      TTY 1-877-889-5627                                         teps to Rat,acilities (Swahili)
                                                                                                                                                                  aging F
                                     www.osha.gov                                                                                                                VID-19 in Meack
                                                                                                                                                                 O
                                                                                                                                                                4088-09 2020 — 9 Se to Csing and P
                                                                                                                                                                  oces
                                                                                                                                                                  r
                                                                                                                                                               OSHAExposurP
The words contained in this file might help you see if this file matches what you are looking for:

...Hatua za kuzuia wafanyakazi kuambukizwa covid kwenye kiwanda cha kutengenezea na kupakia nyama kuku nguruwe zingatia usalama wako watu wanaofanya kazi karibu nawe chukua hizi hata kama huna dalili kaa nyumbani ikiwa kudumisha u mgonjwa umbali wa futi sita kati ya wafanyikazi wenzako epukana mikusanyiko weka vizuizi vikundi wakati mapumziko laini uzalishaji ili ni nje uliotengwa kushirikiana tumia sabuni maji vifaa zana mara kwa kunawia mikono safisha vyote vinavyotumika wengi valia vya kinga ripoti wasiwasi wowote kuhusu afya kuenea virusi msimamizi au osha ikiwezekana jifahamishe mapendekezo usafiri pamoja umma habari zaidi tembelea kwenda kutoka kazini www gov coronavirus piga simu er orkork idara w and p utawala educing oultry marekani tty teps to rat acilities swahili aging f vid in meack o se csing oces r oshaexposurp...

no reviews yet
Please Login to review.